1992
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1960 | Miaka ya 1970 | Miaka ya 1980 | Miaka ya 1990 | Miaka ya 2000 | Miaka ya 2010
◄◄ | ◄ | 1988 | 1989 | 1990 | 1991 | 1992 | 1993 | 1994 | 1995 | 1996 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1992 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]| Kalenda ya Gregori | 2026 MMXXVI |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5786 – 5787 |
| Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2779 |
| Kalenda ya Ethiopia | 2018 – 2019 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1475 ԹՎ ՌՆՀԵ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1448 – 1449 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1404 – 1405 |
| Kalenda za Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 2081 – 2082 |
| - Shaka Samvat | 1948 – 1949 |
| - Kali Yuga | 5127 – 5128 |
| Kalenda ya Kichina | 4722 – 4723 乙巳 – 丙午 |
- 1 Januari - Jack Wilshere, mchezaji mpira kutoka Uingereza
- 7 Januari - Mbwana Samatta, mchezaji wa mpira kutoka Tanzania
- 11 Februari - Taylor Lautner, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 22 Julai - Selena Gomez, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 20 Agosti - Demi Lovato, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 10 Februari – Alex Haley, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1977
- 8 Aprili - Daniel Bovet, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1957
- 10 Aprili - Peter Mitchell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1978
- 6 Mei - Marlene Dietrich, mwigizaji filamu na mwimbaji kutoka Ujerumani
- 21 Juni - Joan Fuster, mwandishi wa Kikatalani kutoka Hispania
- 12 Julai - Caroline Pafford Miller, mwandishi kutoka Marekani
- 18 Agosti - John Sturges, mwongozaji filamu wa Marekani
- 2 Septemba - Barbara McClintock, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1983
- 8 Oktoba - Willy Brandt, Chansela wa Ujerumani (1969-1974)
- 15 Desemba - Sven Delblanc, mwandishi kutoka Uswidi
